Ni muda muafaka wa kuoa

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
360
Reaction score
459
Habari ndugu zangu

Leo ninayo mambo machache ya kuweka wazi,Mambo hayo ni pamoja na suala zima la kuoa.Pamoja na faida nyingine nyingi za kuoa nimeona kwa upande wangu huu ni muda muafaka wa kuvuta mke ndan.
Kuhusu umri wang ni miaka 26 bado ni kijana mbichi kabisa mwenye mitazamo chanya sana kuhusu maisha ya baadae.Nimeona kuliweka wazi hili hapa JF kwa sababu siku nimeamini kwa Tanzania hili ndo jukwaa la muhimu na productive zaidi hasa linapokuja suala zima la Mapenzi na Mahusiano.Kwa wale ambao tiyari wameoa/kuolewa michango yenu itanisaidia sana kipindi hiki ambacho naweza kukiita cha maamuzi magumu.Asante

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
ujipange babuuu

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Mungu akutangulie....upate mwenza wa kufanana nawe...

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…