Ni muda gani mrefu zaidi ulishawai kaa bila sex

Ila huo mwaka na miezi 7 nilipata taabu sana ilikuwa ni mateso bila chuki kwakweli sijui nyakati zile niliwaza nini hadi kujiumiza kiasi kile daaah!

Na ikipita miezi kadhaa hujafanya hiyo kitu unakua mtu wa kukasirika vitu vidogo vidogo,gubu na kila jambo dogo linakua kubwa na la kero upande wako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom