airGrid
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 543
- 301
Lowasa,Anaweza sana,tena,ni mtu anayedhubutu,Kuna usemi unasema Ng'ombe hajui umuhimu wa mkia mpaka uukate.Tangu mheshimiwa huyu aondolewe kimizengwe katika uwaziri mkuu na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi.
Tumeona ufa mkubwa sana na kukosekana kwake kumeonekana wazi.Kuna Ombwe la wazi hasa kwa Nafasi ya Uraisi, .Gombea Mheshimiwa Mungu amekuweka juu ya watu na utashinda kwa kishindo…. huu umati uliokata tamaa unao kufuata ni ISHARA tosha...Mwenye masikio naasikie….