Ni mtiwa mafuta wa Bwana

airGrid

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
379
0
Lowasa,Anaweza sana,tena,ni mtu anayedhubutu,Kuna usemi unasema Ng'ombe hajui umuhimu wa mkia mpaka uukate.Tangu mheshimiwa huyu aondolewe kimizengwe katika uwaziri mkuu na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi.

Tumeona ufa mkubwa sana na kukosekana kwake kumeonekana wazi.Kuna Ombwe la wazi hasa kwa Nafasi ya Uraisi, .Gombea Mheshimiwa Mungu amekuweka juu ya watu na utashinda kwa kishindo…. huu umati uliokata tamaa unao kufuata ni ISHARA tosha...Mwenye masikio naasikie….
 

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,829
2,000
Lowasa,Anaweza sana,tena,ni mtu anayedhubutu,Kuna usemi unasema Ng'ombe hajui umuhimu wa mkia mpaka uukate.Tangu mheshimiwa huyu aondolewe kimizengwe katika uwaziri mkuu na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi…..Tumeona ufa mkubwa sana na kukosekana kwake kumeonekana wazi.Kuna Ombwe la wazi hasa kwa Nafasi ya Uraisi, .Gombea Mheshimiwa Mungu amekuweka juu ya watu na utashinda kwa kishindo…. huu umati uliokata tamaa unao kufuata ni ISHARA tosha...Mwenye masikio naasikie….
Nimemnunua Mbuzi
nitatengeneza ndafu na suphu Ulfajiri ya tarehe 26 OCT 15.........nitamla peke yangu nikiwa uchi Chumbani kusherehekea ushndi kishndo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom