Ni mtego au?

hamza mahundu

Member
Dec 20, 2018
58
113
Demu wangu ni mlokole Jana
Amenambia hatuwezi ku-sex tena hadi tutakapofunga ndoa.

Na ukumbuke mwanzo tuki nyanduana fresh tu.

Nikirelate na hardlife nalopitia now, misoto Mimi sina hela kabsa, nafight job sijapata

Nahisi kama huu ni mtego duhh..

Embu nishaurini
 
Ushayakanyaga 😅😅😅inaitwa demons transmit kwa kinyakyusa tafuta mwngn ugawe angalau ishai nkuta ilifk time hata bando lkiish huna hata mia na haijawahg kutokea mm kufulia kama hivo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…