Ni mnyonge yupi alifaidi matunda ya uawala wa awamu ya tano mwaka 2017?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Hebu pitia haya halafu nawe andika chichote.

Malalamiko

1.Huduma za kibenki na miamala ya huduma za kifedha kwenye simu.

2.Kupanda kwa sukari na bei za vyakula

3.Kupita kwa mswaada wa sheria ya vyombo vya habari na kusainiwa

4.Uhaba wa ajira


5.Mikopo elimu ya juu

6.Tetemeko la ardhi Kagera

7.Kuzorota kwa biashara za bidhaa mbali mbali

8.Kupanda kwa hharama za Umeme

9.Uhuru wa kutoa maoni na kutakufanyika mikutano ya kisiasa

10.Kupungua kwa mizigo bandarini




Ya kujivunia/mafanikio

1.
Ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombardier

2.Uhakiki wa watumishi hewa

3.Ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda

4.Utengezaji wa madawati kwa shule za msingi na sekondari

5.Ujenzi wa uwanja wa ndege chato

6.Elimu bure

7.Ujenzi wa barabara ya Morocco-Mwenge.
 
Mbona hayo mafanikip uliyoyaainisha hapo ndiyo ya msingi zaidi?
 
Back
Top Bottom