Ni mimi tu au na wenzangu mpo?

Ni mimi tu au na wenzangu mpo?

MBWAMBO NICHOLAUS JR

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
423
Reaction score
434
Habari jamani pole na majukumu na mchakamchaka wa mvua kwa watu wa Dar. Niende kwenye mada hivi ni mimi au mpo na wenzangu wenye tabia kama yangu ya kutohonga ama kutoa pesa za huduma awali?

Kwa mimi nina tabia moja hivi kama nimempenda ama kumtamani msichana basi ntamwambia na suala la pesa kabla zipu zijafungua huwa nakuwa mgumu sana kutoa hela

Ila kama nimewahi ku sex na mdada ikija siku tumeachana akiniomba pesa huwa nakuwa mwepesi sana kutoa hela? Kuna siku niliwahi kumpa e- wangu laki alikuwa na issues zake. Jana tuu kuna manzi hapa street naye aliniomba elfu sabini nilimpa

Je, kwako ipoje? Share experiences yako
 
Watu mnajua kuja na gia za kuwapata mademu humu

Nikwambie tu wengi wanhumu ni walioshindikana

Acha nao kabisa,tafuta mwanamke huko mtaani kwenu
 
Mkuu unataka kula papuchi kijanja humu eeeh
 
Sa jingine swala la kumpa hela mwanamke sio kuhonga tu

Ni kama mshikaji anapiga simu kuomba kilo amekwama mahali flani,unaweza kumpa tu kishikaji sasa na mwanamke inabid umchukulie hivyo hivyo ni mtu wa karibu ananipa papachu ana shida nampa ...

Hela ngapi tumetumia bwana tena sisi wanaume tunatumia hela hovyo sana...

Mi eX wangu yeyote ambye tumeachana kistaarabu nikiwa na hela, kaniomba nampa sio big deal sana.
Mi nisichopenda ni kunilaghai nikupe hela hapo ndo sitakagi kujiona mjinga....una shida na hela go straight niambie nina shida hii naomba kiasi flani kama unacho basiiiii sitaki mambo ya sijui shangazi anaumwa hlf simu yangu imeharibika mara hivi mara vile hapo nasema sina bila hata kuwaza mara mbili...
 
Kabisa, Kama anashida anasema Mambo ya vijisababu siyo issue.
 
Watu tunatofautiana sana, Binafsi pesa yangu hunitoka sana tena sana nikiwa sijafungua zipu,
Ila ukinipa K kisha utegemee kupata pesa kwangu hakika labda ya boda boda tu,
Pesa tunatoa wakati wa kampeni tu,
 
Sa jingine swala la kumpa hela mwanamke sio kuhonga tu

Ni kama mshikaji anapiga simu kuomba kilo amekwama mahali flani,unaweza kumpa tu kishikaji sasa na mwanamke inabid umchukulie hivyo hivyo ni mtu wa karibu ananipa papachu ana shida nampa ...

Hela ngapi tumetumia bwana tena sisi wanaume tunatumia hela hovyo sana...

Mi eX wangu yeyote ambye tumeachana kistaarabu nikiwa na hela, kaniomba nampa sio big deal sana.
Mi nisichopenda ni kunilaghai nikupe hela hapo ndo sitakagi kujiona mjinga....una shida na hela go straight niambie nina shida hii naomba kiasi flani kama unacho basiiiii sitaki mambo ya sijui shangazi anaumwa hlf simu yangu imeharibika mara hivi mara vile hapo nasema sina bila hata kuwaza mara mbili...
Well said
 
Back
Top Bottom