CNO Member Joined May 28, 2025 Posts 46 Reaction score 62 Jun 2, 2025 #1 Jamani dunia ya sasa mambo yanaenda kwa kasi ya ajabu kwa kila sekta, pia na maarifa ya naongezea kwa kasi na ni rahisi kupatikana, na watu wanazidi sana kuwa na akili kupita kawaida. Je nawe umeona hili, mwisho wa haya itakuaje?
Jamani dunia ya sasa mambo yanaenda kwa kasi ya ajabu kwa kila sekta, pia na maarifa ya naongezea kwa kasi na ni rahisi kupatikana, na watu wanazidi sana kuwa na akili kupita kawaida. Je nawe umeona hili, mwisho wa haya itakuaje?
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,120 Reaction score 4,850 Jun 2, 2025 #2 akili zipi, CCM watoe
CNO Member Joined May 28, 2025 Posts 46 Reaction score 62 Jun 3, 2025 Thread starter #3 maji ya gundu said: akili zipi, CCM watoe Click to expand... Hahaha, wejama wejibuswali bana, uchaguzi bado kidogo kwanza umejiandikisha?
maji ya gundu said: akili zipi, CCM watoe Click to expand... Hahaha, wejama wejibuswali bana, uchaguzi bado kidogo kwanza umejiandikisha?
CNO Member Joined May 28, 2025 Posts 46 Reaction score 62 Jun 15, 2025 Thread starter #4 maji ya gundu said: akili zipi, CCM watokama unaongelea siasa, ingeleta kwa ujumla kama mada isemavyo ila sio chama na kama unaongelea chama iwe ni kwa mfano dhahiri Click to expand...
maji ya gundu said: akili zipi, CCM watokama unaongelea siasa, ingeleta kwa ujumla kama mada isemavyo ila sio chama na kama unaongelea chama iwe ni kwa mfano dhahiri Click to expand...
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,084 Jun 15, 2025 #5 Uko sahihi