Richard lugusi
Member
- Jan 15, 2015
- 67
- 8
Ndugu wanajamvi mm ni mwalimu ajira mpya nimeripoti tarehe 3/5/2015 hapa kituoni na tangu kipindi hicho mpaka sasa sijapokea mshahara nifanyeje?
Naombeni ushauri!
Naombeni ushauri!
hii serikali ya mafisadi usipokomaa unapokwa haki yako mchana kweupe! hiyo kitu ilimtokea jamaa angu miezi miwili tangu alipoanza kazi hakupata mishahara yake, tulienda manispaa kuzingua kwa hoja,tulianza idara ya elimu sekondari, ofisi ya utumishi,tulipofika kitengo cha mishahara tuligoma kutoka ndani ya ofisi yao hadi saa kumi na mbili jioni ndipo afisa utumishi mkuu alipoitwa iliandikwa cheki pale pale na jamaa alichukua pesa yake kesho.
kapambane upate haki yako mwalimu acha nidhamu ya woga utakufa masikini!