Ilinikaba hadi nikaiona jehanam hii hapa baada ya kumeza mate yake!! Nikaona dunia inazunguka kwa kasi sana hadi sasa naamin siku dunia ikisimama ghafla kujizungusha kila kitu kitatupwa kusikojulikana maana aio kwa kizunguzungu kile,namshukuru Mungu sijawahi kuitamani tena na kuniondolea hamu ya kula ugoro au pariki km vijana wengi walivyotumbukia ktk hivo vitu.