100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,229
- 36,580
Ukweli ni kwamba jamaa kashapotezwa muda maana yulè alikuwa mwiba zaidi ya lissu walipika nae pakua alfu akawageukaHiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Taratibu watakubaliana na hali kuwa ndugu yao ni Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un...Kipindi anaendelea na maongezi yake mtandaoni, polisi walitoa barua kumtaka afike kituo cha polisi ili kuthibitisha asemayo..
Polepole mwenyewe nakumbuka kwenye ile video alisema ikitokea nimefika kituo cha polisi basi inakuwa nitolee, inakuwa Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un... alifahamu wakimtia mikononi ni kifo kinafuatia...
Ni probability ndogo sana kama ni mzima, hata kaka yake yule anayepiga mikwara siku hizi sijui kapotelea wapi...
Pumbafu!Kwanza anzeni nyie mnaosema ametekwa, mtueleze ni lini alirudi TZ
Mkuu; swali lako ni nyeti sana.Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Hii Samia, Abdul au Wanu mmoja lazima atalipa hii fidia.Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Lakini hali haipo shwari...Taratibu watakubaliana na hali kuwa ndugu yao ni Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un...
Hao wapo tu na hawawezi kuisha ndio dunia ipo ivyo hakuna chama au mtu atatawala milele ccm itapita na kitachokuja pia hivyohivyo.Lakini hali haipo shwari...
2030 kunawezekana akatokea Polepole mwingine na akaja kivingine..
Ndani ya ccm bado kuna mivutano...
Ndo leo nasikia kwako.Polepole alikua Tanzania hata mtoto mdogo anajua
CHADEMA mwingine huyu!Pumbafu!
nonsense 🐒Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Inasikitisha sana!Kipindi anaendelea na maongezi yake mtandaoni, polisi walitoa barua kumtaka afike kituo cha polisi ili kuthibitisha asemayo..