Watu wote waliotekwa na hawajapatikana WALISHAUAWA.Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Kwanza anzeni nyie mnaosema ametekwa, mtueleze ni lini alirudi TZHiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Na wengi tuna wasiwasi na ile AMRI ya IGP ya kutotoka usiku kwa ajili ya kazi maalumu. Lengo lilikuwa kukusanya hiyo miili na kwenda kuifukia Maana hakukuwa na maziko lengo likiwa watu wasioneWatu wote waliotekwa na hawajapatikana WALISHAUAWA.
Mifano iko mingi,
Hivi kwa jinsi ilibyotokea kwa hawa watu hapa chini, ambao ni Mungu tu aliingilia kati,
- Sativa
- Padre Kitima
- Lissu
- Djumbe
Unadhani waliotekwa wako hai??
Wote WALISHAUAWA.
Na KILELE cha MAUAJI, kilikuwa OKTOBA 29, ambako wengi walizikwa usiku usiku kwenye makaburi ya halaiki kama MIZOGA na wengine wakiwa na majeraha kabla hawajafa.
Lile BIBI ni SHETANI zitoooooo la LAIVU.
Ndio maana kama una kiongozi wako wa dini unamuona yuko karibu na huyo BIBI, ni bora umtafute Mungu ukiwa zako NYUMBANI tu.
Mbona kama IGP nae kapotea sana mean kapoa sanaNa wengi tuna wasiwasi na ile AMRI ya IGP ya kutotoka usiku kwa ajili ya kazi maalumu. Lengo lilikuwa kukusanya hiyo miili na kwenda kuifukia Maana hakukuwa na maziko lengo likiwa watu wasione
Likijulikana hilo litamuonesha alipo.Alirudi lini nchini kutoka Cuba
It has happened broInaumiza sana kuona mtu kama Balozi anapotea kama kuku hii kwakweli haikubaliki
Alirudi lini toka Cuba alipitia bandari mpaka au uwanja gani wa ndege?Hiwezekani serikali inayosema kazi na Utu inakubali raia wake anatoeaka na kupotea kama upepo hii haiwezekani haikubaliki kwa sisi wapenda haki na amani lazima tujue Polepole yuko wapi ni mzima amekufa.
Polepole kama alikua na makosa alitakiwa kufikishwa mahakamani kwangu mimi Polepole hakuna kiapo alichovunja kutokana na maadili ya utumishi wa Umma yote ambayo aliongea balozi Polepole sio mageni kwenye maskio ya watu huyu kama hana kosa au kuna sheria alivunja tunaomba serikali itoke itwambie kosa la Polepole ni lipi?
Nchi haijawahi kushuhudia uharamia na ushetani wa kutisha kama wa awamu hii. Hii itabakia kwenye kumbukumbu ya vizazi vyote vya nchi hii na Ulimwengu mzima.Sidhani kama hawa watekaji wana bajeti ya kumlisha mtu hata siku 2 hadi wakae nae ati mwezi. Akitoweka wiki kurudi ni majaliwa.
Tupambanie mfumo wa haki vinginevyo kila mtu atatoweka na kupotea.