Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Yope remix una siku moja lakini kutokana na uwepo wa simba inaelekea kuipita view na kuiuwa kifo cha mende yope og.
Kila mtaa,kila bar,kila kona ngoma ni hiii.
Wazee wakupiga mitungi na kuyarudi mzigo huu ndio wenyewe,
Ila bado lile la kisanola(kofii olomide) tutalitukuza