ikinyunyi
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,062
- 941
Habari wana jamii,
Kama kinavyosomeka kichwa cha habari mimi ni mdau ambae ni mgeni katika mambo ya kilimo ila nimeamua niweke nguvu zangu huko.
Nimelima mpunga ekari 5 msimu huu na ninahitaji kuweka mbolea nikiamini nitapata mazao mengi ila naomba mnisaidie yafuatayo:-
1. Mbolea za aina ngapi znahitajika kuanzia upandikizaji hadi uvunaji.
2. Aina ipi ya mbolea inahitajika katika kila hatua hapo juu.
3. Muda gani ni muafaka kwa mimi kuweka mbolea hizo na napaswa kuzingatia vitu gani vya kitaalam ili nipate mazao mengi.
Natanguliza shukrani!