Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Duh wewe nawe wa ajabu kweli.Ila ingekuwa kule lwa Obama au China wanaoleta misaada mnaiba na wana sisiemu wenzako ingekuhusu.Wanapokufa bibadamu wenzako umeckia wengi ni wanawake na watoto wewe roho haikuumi?Duh wang`oa kucha bwana.Kama huna busara ktk jambo la huzuni na kusikitisha ni bora ukae kimya?Sasa sisi inatuhusu nini?
Eh huyu nae hapo bei ya mafuta inahusikaje .Katika hayo mataifa uloyataja ni lipi linazalisha mafuta au lipo juu kiuchumi linatoa misaada kwa mataifa mengine ivyo yataathirika kwa kukosa misaada iyo wanayonunulia mafuta?HApo cha kushangilia ni kuanguka kwa dikteta muuaji na mbaguzi wa kidini ila vifo ndo tunasikitika.Au wewe unaogopa ilo vugu vugu litakuja kuondoa ukoo wa kifalme unaoshadadia kila cku huku JF?FREEDOM IS COMMING TOMMORROWNiliwaambia hapa majuzi inahitaji muda tu kuiona misri ikifuata nyayo za Syria,mashariki ya Kati sasa italipuka yote,na mtu anaekuja kuathirika zaidi ni babu yangu alie geita huko maana bei ya mafuta itapanda vibaya mgogoro mpya wa kiuchumi duniani unanukia,nashangaa kuna watu walikuwa wakishangilia mapinduzi ya kijeshi hapa
Sasa sisi inatuhusu nini?
Sasa sisi inatuhusu nini?
Mkuu nakubaliana na wewe lakini nimeuliza sisi kama Tanzania yanatuhusu nini? ukumbuke hao wote ni ndugu na sisi hatuna uwezo au sauti yeyote ya kuzuia yanayotokea Egypt.akili umepeleka likizo Arifu? waliokufa ni binadamu wenzako, huna ulichojifunza hapo?
Egytpt sio udini ni matabaka. wafuasi wa mubarak ambo ni pamoja na jeshi na wale wa morsi na wote ni dini mojaWapenzi wa dini wanapelekana kwa Allah:laugh:.
Yaani hao 40 wa misri ndio mmewaona,je wale 100,000 kule syria nani amesema??????????
Eh huyu nae hapo bei ya mafuta inahusikaje .Katika hayo mataifa uloyataja ni lipi linazalisha mafuta au lipo juu kiuchumi linatoa misaada kwa mataifa mengine ivyo yataathirika kwa kukosa misaada iyo wanayonunulia mafuta?HApo cha kushangilia ni kuanguka kwa dikteta muuaji na mbaguzi wa kidini ila vifo ndo tunasikitika.Au wewe unaogopa ilo vugu vugu litakuja kuondoa ukoo wa kifalme unaoshadadia kila cku huku JF?FREEDOM IS COMMING TOMMORROW
Egytpt sio udini ni matabaka. wafuasi wa mubarak ambo ni pamoja na jeshi na wale wa morsi na wote ni dini moja
What about Illiterates of your demigoddess prophetSafi sana ulivyomjibu huyo mwenye akili za samaki.
Mkuu nakubaliana na wewe lakini nimeuliza sisi kama Tanzania yanatuhusu nini? ukumbuke hao wote ni ndugu na sisi hatuna uwezo au sauti yeyote ya kuzuia yanayotokea Egypt.
Ngoja nikuulize swali, MAUAJI YANAENDELEA CONGO kila siku je umewahi kusikia watu wa Egypt wakalalamika? yale ya Rwanda? Kuna mambo mengine unaangalia kama hata huyo anayeathirika kama anakujali. Unajua hao wa Egypt walitaka kutupiga vita kama tukitumia maji ya lake victoria?
Kwa hiyo na akili zako unazani siku ukiwa na matatizo hao watu watakuonea huruma au hata kujali?Umetoa Point zake kwa Mrengo wa Kibaguzi, ina maana siku ukiambiwa watu wa Mkoa mwingine wanauana wenyewe kwa wenyewe na wewe siyo mtu wa Mkoa huo basi haikuhusu? Kule Misri kuna uwezekano wa kuwepo Watanzania wenzetu, utasemaje haikuhusu?
Wakati mwingine watu wanachotaka kutoka kwetu ni kuomboleza pamoja nao...