Ni matumaini yangu Uongozi wa Simba SC umeshaandaa Barua ya Kumfuta Kazi Kochwa wa Hovyo Pablo Franco wa Real Madrid ya Tandale

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nilishasema katika moja ya Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums kuwa hakuna Kocha hapa na kutoa sababu zangu kadhaa za Kiufundi na Kiuchambuzi nasikitika Sikueleweka na Kutusiwa na Wadau.

Unajua kabisa kuwa Principle Kuu ya Wapiga Penati ni Kwanza kuanza na wale Mafundi wa Kupiga kama Shomary Kapombe na siyo Wabovu kama Mkude na Inonga.

Kocha mwenye Akili ( ambazo Tapeli wa Kihispania ) Pablo Franco Martin hana pale hasa ilipofika tu hatua ya Mikwaju ya Penati angeanza na Shomary Kapombe, Mohammed Hussein Tshabalala, Meddie Kagere, Pascal Wawa na Saido Kanoute.

Kama Kocha Mkuu umeshaona tokea mapema tu Jonas Mkude anagombana na Mwamuzi mara kwa mara pamoja na Beki Henock Inonga ambaye muda wote ni Kukasirika na Kuwafokea tu Wachezaji wenzake akijifanya anajua Mpira Tanzania nzima wakati Kiuhalisia ni wa Kawaida sana kupelekea Wawili hawa kutoka Mchezoni mapema halafu bado nikashangaa kuwaona nao Wamejumuishwa katika Wapiga Penati zile.

Tafadhali Uongozi wa Simba SC upesi sana Fukuzeni Kocha Mkuu Pablo Franco Martin na Msaidizi wake Suleiman Matola pamoja na Meneja wa Timu Patrick Rweymamu na mtafute Kocha wa muda huku mkimtafuta Kocha Mkuu Mpya anayeendana na Matakwa, Sera na Falsafa za Simba SC.
 
Hujui mpira tuliza boli hapo
 
Oi dingi wiseee umebonga maukweeli kinyama
 
Uko sahihi afutwe kazi...MAMA AAJIRIWE MARA MOJA
 
Sindano imeingia eeh?We si unaamini katika uchawi imekuwaje tena 🤣🤣🤣
 
Naunga mkono hoja.
Hilo hata Mimi nimeliona dhahiri.

Fukuza takataka hyo.

Tangu mwanzo Simba hakupaswa kujilinda Kama alivyopanga kikosi.

Kocha ni Debe tupu.
 
Nilishasema katika moja ya Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums kuwa hakuna Kocha hapa na kutoa sababu zangu kadhaa za Kiufundi na Kiuchambuzi nasikitika Sikueleweka na Kutusiwa na Wadau.

Unajua kabisa kuwa Principle Kuu ya Wapiga Penati ni Kwanza kuanza na wale Mafundi wa Kupiga kama Shomary Kapombe na siyo Wabovu kama Mkude na Inonga.

Kocha mwenye Akili ( ambazo Tapeli wa Kihispania ) Pablo Franco Martin hana pale hasa ilipofika tu hatua ya Mikwaju ya Penati angeanza na Shomary Kapombe, Mohammed Hussein Tshabalala, Meddie Kagere, Pascal Wawa na Saido Kanoute.

Kama Kocha Mkuu umeshaona tokea mapema tu Jonas Mkude anagombana na Mwamuzi mara kwa mara pamoja na Beki Henock Inonga ambaye muda wote ni Kukasirika na Kuwafokea tu Wachezaji wenzake akijifanya anajua Mpira Tanzania nzima wakati Kiuhalisia ni wa Kawaida sana kupelekea Wawili hawa kutoka Mchezoni mapema halafu bado nikashangaa kuwaona nao Wamejumuishwa katika Wapiga Penati zile.

Tafadhali Uongozi wa Simba SC upesi sana Fukuzeni Kocha Mkuu Pablo Franco Martin na Msaidizi wake Suleiman Matola pamoja na Meneja wa Timu Patrick Rweymamu na mtafute Kocha wa muda huku mkimtafuta Kocha Mkuu Mpya anayeendana na Matakwa, Sera na Falsafa za Simba SC.
Kwa Inonga ni wachache watakaokuelewa. Wengi wataamini unamchukia sababu kakosa Penati, lakini ukimfuatlia Vizuri maneno ulimwongelea ni sahihi asilimia .

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Hata shabalala ana record mbovu ya kupiga penalty. Ni bahati tu kafunga.
 
Nilishasema katika moja ya Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums kuwa hakuna Kocha hapa na kutoa sababu zangu kadhaa za Kiufundi na Kiuchambuzi nasikitika Sikueleweka na Kutusiwa na Wadau.

Unajua kabisa kuwa Principle Kuu ya Wapiga Penati ni Kwanza kuanza na wale Mafundi wa Kupiga kama Shomary Kapombe na siyo Wabovu kama Mkude na Inonga.

Kocha mwenye Akili ( ambazo Tapeli wa Kihispania ) Pablo Franco Martin hana pale hasa ilipofika tu hatua ya Mikwaju ya Penati angeanza na Shomary Kapombe, Mohammed Hussein Tshabalala, Meddie Kagere, Pascal Wawa na Saido Kanoute.

Kama Kocha Mkuu umeshaona tokea mapema tu Jonas Mkude anagombana na Mwamuzi mara kwa mara pamoja na Beki Henock Inonga ambaye muda wote ni Kukasirika na Kuwafokea tu Wachezaji wenzake akijifanya anajua Mpira Tanzania nzima wakati Kiuhalisia ni wa Kawaida sana kupelekea Wawili hawa kutoka Mchezoni mapema halafu bado nikashangaa kuwaona nao Wamejumuishwa katika Wapiga Penati zile.

Tafadhali Uongozi wa Simba SC upesi sana Fukuzeni Kocha Mkuu Pablo Franco Martin na Msaidizi wake Suleiman Matola pamoja na Meneja wa Timu Patrick Rweymamu na mtafute Kocha wa muda huku mkimtafuta Kocha Mkuu Mpya anayeendana na Matakwa, Sera na Falsafa za Simba SC.
Tumekusikia na hoja zako ambazo mimi naziita MAJI TAKA!
 
Back
Top Bottom