Ni maswali gani ya written interview, utumishi?

Ni maswali gani ya written interview, utumishi?

mama wa wili

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
40
Reaction score
6
Naomba wadau mnisaidie kwa anae fahamu maswali katika written interview utumishi, nafasi ya internal audit yanakuaje?
 
Ngoja wadau waje wakupe possible ila me nilishawahi kufanya interview ya NAO hapo hapo Kigamboni walitoa maswali ya auditing 2pu.
 
Zijue duties and responsibilities za internal auditer pia soma kwenye fani but mara nyingi wanauliza basic qns
 
hasa matangazo ya kiswahili interview zake ni lugha gani?
 
mara nyng hawa hata kama tangazo ni la kiswahl haijalish interview kuanzia writen had oral ni kingereza.mfano fire kule tangazo llkuwa kisw lakn usail ulikuwa ngeli tu cjui kwa madogo walofuata.
 
Back
Top Bottom