CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,100
Kama ilivyo kwa Panga, kisu ana jembe, ulinunuapo.. Linakuwa na makali, linakata na kufanya kaz vyema, ila kadri linavotumika huwa butu... Na dawa ni kulinoa.
Mapenzi vivyo hivyo, Ndoa vivo hivyo, urafiki hivyo pia.... Lakini SWALI... NI MARA NGAPI UMENOA NDOA YAKO BROTHER NA DADA???
ulifanya nini ulipogundua umemuudhi mwenzako?? Je kutandika henken ukarudi umelewa imesaidia?? Dada. Kupiga kelele za kejeli na kuchepuka kumesaidia? ni lini umesema MKE/MME WANGU NIMEKOSA NISAMEHE " ukaongea kwa dhati bila unafiki??? ni lini umempa zawad mkeo aipendayo? Ni lini umekaa na mmeo mkacheka na kumpikia chakula akipendacho??
NOA NDOA YAKO LEO" msiwe wepesi wa kuweka hasira, kwani hasira huujaza chuki Moyo" ...kama tunoavyo visu ili viwe na MAKALI... TUNOE MAHUSIANO YETU SASA... kila mtu anahusika na furaha ya Mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app