A Father
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 1,385
- 601
Habari wanajamvi?
Nimejiuliza sijapata jibu, imebidi niwaulize wanaojua.
Nimepiga 100, namba ya huduma kwa wateja ya hawa wanaojiita 'BABA LAO' AIRTEL kwa saa 1, dakika 10, sekunde 44 nikiwa na shida yangu ambayo inahitaji ufumbuzi, simu haijapokelewa. Naambiwa "wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine kwa sasa." Inamaana leo mapumziko ndio wateja wakuhudumiwa wamekuwa wengi mpaka kusubirishwa kwa muda wote huo au napewa tu matumaini na hiyo sauti iliyorekodiwa kumbe watu wapo mapumzikoni???
Huduma kwa wateja airtel si masaa 24 siku zote 7 za wiki???
Karibuni.