Ni mambo haya machache tu Magufuli akifanya watanzania wataacha kulalaminika

Magufulii endeleaa kuchezaa na akilii zetuu ilaa tambuaa kabisaa nasii tunachezaa na zakoo ...tuone mwisho wako n wapii
 
Hats hiyo rais wetuanajitahidi sana. Wafadhili wamezuia misaada kwa sababu ya ucjaguzi Wa Zanzibar na Sheria ya cybercrime. Angekuwa legelege hats mishahara sasa ingekuwa shida kupatikna. Anakuna kichwa sana no wonder anaonekana ana hasira muda mwingi maana mazingira sivo alivyotegemea . Mfanobaada ya uchaguzi tu marekani akawithdraw 800 Milioni dola za Umeme vijijini .Naomba miujiza itokee misaada iridi. Hizo ndio zikija huwa zinazungka mikononi mwa wananchi.Malinowski tufa by a kama Kenya miaka ya nyuma walinyimwa miaka 5 mfululizo tutakuwa na matatizo makubwa . Maana Kenya budget ana tegemea misaada kwa 5% wakati kwetu ni karibu 40% katika hali ya kawaida . Sasa amebana hela gani wakati makusanyo kwa mwezi ni wastani Wa 1.3 trillion .na madeni tunalipa 700 bilioni na mishahara kwa mwezi ni 600 bilioni.URAIS NI MZIGO KAMA NI MWAMINIFU ALISEMA BABA WA TAIFA. TUVUMILIE HAKUNA MCHAWI WETUHAPO
 
Kuna watu kwenye hili jukwaa mpo kimya sana...Kama mnafikiri mna freedom ya kukaa kimya, Be careful, nasema watch it, not to that extent.
 
Akitaka wasipige kelele yeye ajiuzuru tu, hatasikia mtu anasema lolote kuhusu yeye na ataitwa shujaaaaa.
 
Hey jambo watanzania wenzangu!

Ebwana nimefuatilia habari mbalimbali na mijadala mingi mikali nimegundua kumba raisi kuna mambo machache tu akiyafanya malalamiko yatapungua.Mambo hayo ni kama yafuatayo:

1.Kuachilia ajira zile ambazo hazieleweki zitatoka lini?

2.Kupandisha wafanyakazi madaraja na kuachia uhamisho

3.Kupandisha mishahara ya wafanyakazi wa serikali.

Hili la tatu ni muhimu na linaweza kuchangia uwepo wa pesa kurudi mtaani kwasababu,'
Kuna wafanyakazi wa serikali kila sehemu mjini na vijijini.Kama kijiji kinawafanyakazj 20 ama 30 yaani hapo manesi,mabwanashamba na walimu kila mtu anapata mshahara mkononi siyo chini ya laki sita maana yake ukizidisha mara 30 unakuwa na siyo chini ya milioni kumi na tano.
Watu hawa watachangia kuongeza mzunguko wa pesa kwa kununua bidhaa vijijini na mijini na hata kuanzisha vimiradi ama kujenga nyumba ama kufanya shughuli za kilimo hivyo kuongeza upatikanaji wa pesa hata kwa watu wa chini.

Akimaliza kufanya haya atakuwa amepunguza malalamiko na kuongeza pesa kuzunguka mtaani na hata kuongeza kodi kwa taifa.

Zaidizaidi yatabaki maswala ya kisiasa lakini kwa wananchi wengi pesa itakuwa imerudi na kuhitaji tu maswala machache kama vile kilimo,kusimamia ununuzi wa mazao ili wananchi wanufaike,ukusanyaji mzuri wa mapato na kuziba mirijanya kinyonyaji.

Ni vitu hivi na vingine vidogo sana akivifanya malalamiko yatapungua na wananchi kupiga makofi
Wanaolalamika siyo watanzania ni mafisadi, mauza madawa ya kulevya na majizi machache
 
mimi labda nichangie hapo 3 kusema serikali iongeze mishahara ya watumishi wa uma!

Sijui kama unatakwimu ya serikani imeajiri wafanyakazi asilimia ngapi! Na idadi ya wananchi wake ambao hawako kwenye ajira za serikali?

Hapa yatakiwa ujue kwamba hata kama serikali ikiongeza laki 1 mpaka ml1 kwa wafanyakazi wake hakuta leta mabadiliko yeyote kwenye mzunguko wa pesa, maana idadi ya wafanyakazi ni ndogo kulingana na sekta nyingine.

Tatizo ambalo limeleta shida hii na serikali ikilitafutia ufumbuzi litarudisha mzunguko wa fedha ni kurudisha fedha zake ilizozitoa kwenye mabenk ya biashara.

Serikali haikupima hathari ya kuzitoa pesa zile nakuzipeleka bot.

Nikweli kwamba serikali ilikua haipati chochote kwenye pesa zile kutokana na mabank yalikua yanazifanyia biashara na kupata faida kubwa.

Serikali ingekaa na mabank na kutengeneza utaratibu mzuri ambao ungenufaisha pande zote mbili na ungepelekea mzunguko kuwa mkubwa tofauti na sasa.

Watu wengi watanzania ni wakopaji katika mabank haya hivyo sasa hata mabank yamezorota kutoa mikopo na kupelekea watu wengi kukosa fedha.

Mengine ni utoaji wa kandarasi kupewa TIB kuondoa mikutano na shuguliza serikali katika kumbi na maoteli binafsi haya nayo yamepelekea kuzorota kwa mzunguko wa fedha.
 
Back
Top Bottom