Labda utujuze UN walimpima kwa jambo gani kuwa naibu katibu mkuu. Then unaeza ukapata jawabu ya hilo unalouliza.
Labda utujuze UN walimpima kwa jambo gani kuwa naibu katibu mkuu. Then unaeza ukapata jawabu ya hilo unalouliza.
Ni jambo la kushangaza kuona magazeti mengi yakimzungumzia mama huyu kama mtu anaepewa nfasi kubwa ya kuukwaa uwaziri mkuu.Kiukweli mama huyu ukiwauliza watanzania walio wengi amewafanyia nini cha kukumbukwa;jibu litakuwa ni HAKUNA.Tabia hii ya kuwapigia watu upatu sio nzuri kwani wakati mwingine aweza teuliwa kwasababu hii.Aliteuliwa TIBAIJUKA hakuna anachofanya.
Mkuu sio un ni UN tumia herufi kubwa.Un?? Hahahahaa waligoma kumpa second term, jiulize ww ni kwanini,kama una mkubali saaana huyo mama!