Wako wapi?
Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia.
1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment.
2.Mkitakakuonana mnatumia picha whatsapp(zile picha kujiandaa) sasa mtajuana na kusomana lini.
3.Bahati nzuri ikatokea mmefikia kwenye ndoa mahali inatolewa kwa tigo pesa,m-pesa airtel money watu wanaenda ukweni kuoa shughuli imekwisha.
5.Baada ya kuishi mwezi tu unaanza kuona kuwa ulikosea mnatafutiana sababu za kikamati ndoa inavunjika talakainatumwa ukweni kwa njia ya message tu "Mtoto wenu simtaki tena".
unaweza kukuta mtu onlinw ana ex hata zaidi ya 10Una umri ndugu? Kiuhalisia haiendi hivyo,kwanza hayo mapenzi ya facebuk sijui kukutana online ni mara chache sana kufikia kwenye ndoa
Una umri ndugu? Kiuhalisia haiendi hivyo,kwanza hayo mapenzi ya facebuk sijui kukutana online ni mara chache sana kufikia kwenye ndoa
unaweza kukuta mtu onlinw ana ex hata zaidi ya 10
mi napita nikawaona kwa mbali...............loading error...............
mbona huyu wangu tuko kwenye process za kufinalize
ndo mana nikasema ni mara chache, kwahyo nyinyi ni moja wapo ya hao wachache, ila kusema kweli wengi wao huwa nikudanganyana tu tena wanasulubika zaidi ya wasichana manake wanachezewa hadi huruma
Halafu jamaa kama ulishawahi kuwaona mahali flani hivi,ila wapo vizurie
wanachezewa au wanachezeana!!!!!!!!!!!!!!
kwanini iwe one way not both ways
inakuwa one way kwasababu unakuta msichana anaingia kwenye hayo mahusiano akijua finally amepata mwenza wa maisha kumbe mwenzie kazi yake kuchat kukutana kugegeda na kusepa situnawaona kila mara wanakuja hapa ooh nimekutana na demu nimetaka kugegeda kagoma
kwa mfano mkaka alikutana na mdada akaingia akijua amepata mwenza kumbe kalamba garasa
nae tunasema amechezewa au tutasemaje!!!!!!!!!!
yap tunasema hvyo
hao wa online si ndio wa huko mitaani
Yah!
Ila mara chache sana kuchat na mtu wa mtaani kwako maana mnaonana,kwanza ni raha kuchat na strangers