Kuna hali ya sintofahamu kwa wakazi wa huku Mbagala. Milio inayoashiria mabomu inasikika watu tunataharuki.
wakati Wengine tunatafakari kukimbia kuna habari zinasema ni majambazi yamevamia banki. Wengne wanahisi mkutano wa dini uliokua eneo hilo ndo umeshambuliwa.
Wanatuma ujumbe kwa Obama kuwa wapo fiti kiuwezo na ki hali m23 wataisha tu kule kongo
Ni Mbagala R3, inasemekana ilikuwa wezi wakawa wanalipua baruti, vishindo tumevisikia hadi huku Charambe sidhani kuna polisi aliyesogea.