Ni lunch-time wadau

Hata karibu basi😒😒😒😒
 
nakula hadi sahani hapo
 
Dah!!! hili zaga la ukweli
Hii ni zaidi ya mboga saba mkuu, Yaani ni full diet, nimependa tu huo mchanyanto, yaani tudagaa, ndizi, njegere, kabeji, wali kwa mbali, ndizi dah ilimradi tu kuweka mambo sawia. Mengine farkhina atamalizia.
 
Last edited by a moderator:

Kwani mkuu kuna ndizi hapo au vipande vya ngisi? Na roast, Na njegere Na salad
 
Last edited by a moderator:
Duh hapo wapi aisee? Chakula kizuri ila sahani imeharibu kabisa.
 
Kwq mara ya kwanza nimekudondokea Salamander yaani nimekufeel aka nime crush na wewe gafla baada ya kuona mwanzo wa zipu ya uruali yako. Yaani hiyo sahani ya chakula mie sijaiona, nimeiona jeans na mwanzi wa zipu yaani, usitake kujua nawaza nini.

If I were near u, I would have eat u and not the food

Kasie..........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…