Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,905
Wadau nataka kujifunza lugha ya kimataifa ambayo inaweza kunisaidia kupata ajira ndani au njee ya nchi mfano kama mwalimu,language translator,.....
Ukitoaa lugha ya kiingereza ivi kufahamahu lugha ipi.....labda mfano kama kichina,kijerumani, kijichina,kifarancaa,kirusiii
Soma kiarabu we we ndio lugha ya dunia na akhera.kwani huko watu wataongea kiarabu km hujui ni kipigo tu .itakusaidia duniani na akhera
ha ha ha ha ha ha
mudy umewaharibu hawa wa vipedo
kwa vile umesema liingereza tayari unacho basi jifunze kichina.Wadau nataka kujifunza lugha ya kimataifa ambayo inaweza kunisaidia kupata ajira ndani au njee ya nchi mfano kama mwalimu,language translator,..... Ukitoaa lugha ya kiingereza ivi kufahamahu lugha ipi.....labda mfano kama kichina,kijerumani, kijichina,kifarancaa,kirusiii