ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,020
- 1,968
Naomba kuuliza nina ndugu yangu ana physc d chem c bios b div two na amemaliza 2013 anatak kozi za afya vyuo vya gvt wapi kweny uhakika wa kupata vyuo vya gvt diploma au certifcat kwa maksi zake msaada wenu wana jf

nashukuru namie nilikua nauliza matokeo hayo mkiyatoa rasmi mtayato mtandao upi na upi?
ostadhi juma yani deadline iwe august na matokeo pia yawe august?
nenda tu uticha kaka...kwani ulikuwa ushachaguliwa so kuchaguliwa tena ni issue kaka..kapige buku udomjamani naomba kufahamu nli aply vyuo vya afya kupitia CAS kwakuwa nlikuwa sina mpango wa kwenda advansi ila hawakunipanga advansi wakanichagua chuo UDOM chuo. sasa kuna mtu aliniambia kuwa kama wameshanichagua UDOM chuo.vile vya afya nlivyo aply hawatanichagua tena kwaku ni vya serikali je kunaukweli juu ya hilo wana JF