Ni lini klabu zetu kongwe zitajiendesha kikampuni

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,815
hili suali najiuliza kila siku ila sijawai kupata jibu lake,labda tujadili hili ingawaje najua kwa makomandoo wa simba na yanga nitawaudhi ila ukweli ndio huo.
 
Yanga na Simba kuhamia digital ni ndoto.

Kuna watu bila hizo timu huwakuti Dar.!
 
Back
Top Bottom