CHADEMA ni chama cha Wachagga na Wakaskazini. Toka mwanzo nilisema kuwa Sumaye hawezi kwenda NCCR. alikuwa anasubiri vuguvugu lipite tu ili asionekane kuwa kanunuliwa na Lowasa
Ijumaa kareem ndugu zangu.
Wakati Sumaye anatangaza kujivua uanachama wa CCM, alisema kuwa anaenda UKAWA lakini hakubainisha anaenda chama gani. Taarifa za ndani zilisema kuwa Sumaye anahamia NCCR na kwamba ndiye anayeandaliwa kugombea Urais ikiwa Lowasa ataishia njiani.
Hata hivyo, akiwa Mkoani Simiyu, Sumaye ameonekana amevaa jezi za CHADEMA hali inayoashiria kuwa na yeye amejiunga kwenye chama hicho. Nadhani Sumaye ameangalia upepo hasa kutokana na viongozi waandamizi wa NCCR Mageuzi kumjia juu Mwenyekiti wao na kutishia kujiondoa UKAWA. Wakati Sumaye akionekana amevaa jezi za CHADEMA, Lowasa ameendelea kugombea kuvaa gwanda za chama hicho ambapo amekuwa akibadilisha mashati huku kila analovaa kutoshabihiana kabisa na sare za chama chake.
Kwa mtazamo wangu, ikiwa Sumaye ameelekea CHADEMA, ni dhahiri kwamba viongozi wote wa UKAWA kwa sasa ni CHADEMA na kwamba hata huyu Mbatia kinachomuweka NCCR ni jimbo la Vunjo tu na baada ya Uchaguzi atatimkia huko kwa vile hana uwezo wa kushinda jimbo hilo
View attachment 288127View attachment 288129
CHADEMA ni chama cha Wachagga na Wakaskazini. Toka mwanzo nilisema kuwa Sumaye hawezi kwenda NCCR. alikuwa anasubiri vuguvugu lipite tu ili asionekane kuwa kanunuliwa na Lowasa
Jiulizeni na mkishapata majibu mjijibu wenyewe sisi tunasonga mbele na Lowassa. Hakuna kulala mpaka kielewekeeeeeee!!kwa nini kila anayehama kutoka kaskazini anaenda chadema tu?
Hawajitambui hao wenye akili za kizombie. Ma ccm ni janga la taifaWatu wanasiasa za chuki jamanii tatizo vichwa vimejaa udaku fu***********