Ni lini chama changu kitaachana usafiri huu wa kudharirisha?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Kwanza naweka wazi kuwa Mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi (ccm) tangu mwaka 1983, hivyo kile nitakachokiongea hapa kuhusu ccm Nina uzoefu nacho na ninakifahamu vyema.

Chama changu ni chama pekee chenye umri mkubwa sana kuliko vyama vingine vya siasa hapa Tanzania na ni miongoni mwa vyama kongwe barani Afrika na dunia kwa ujmla

jambo la kusikitisha ni kwamba maendeleo ya chama hayaakisi umri na umaarufu wa chama hiki. jambo linalosikitisha zaidi ni pamoja na chama kukosa magari maalum ( mabasi, min bus n.k) kwa ajiri ya kutumiwa katika harakati na kazi za chama mfano kampeni na mikutano ya mingine ya kisiasa badala yake kwa miaka mingi tumekuwa maarufu wa kutumia Malori kusafirisha wanachama wetu. hii ni aibu kubwa

Nikiwa kama kiongozi wa chama , ni miongoni mwa watu wanaopata wakati mgumu kuwashawishi watu kupnda malori na hakika imetupa shida hasa kwa mkoa wa Kilimanjaro kipindi hiki.

Ninachoshsuri kwa chama changu tutumie rasrimali za chama kununua magari ya usafiri ili tuachane na matumizi ya malori kwani yamepitwa na wakati

karibuni kwa maoni au nyongeza
kidumu Chama cha mapinduzi!
xidumu fikira za mwenyekiti!!??
 
"Mkoa wa Kilimanjaro kipindi hiki" Mkuu kwani Kilimanajro kipindi hiki kuna kampeni? Au mnawasomba kuwapeleka may mosi ili muweze kujaza Ushirika!!!
 
Mjomba ccm ni ya wanyewe kila unacho kiona humo ni cha MTU fulani wananufaika na mambo fulani mfano kama hayo maroli msimamizi wake ananufaika na mafuta akiambiwa kila Lori aweke Lita mia mbili yeye anajiongeza anaweka Lita mia hamsini
 
Ila sasa watu wa kusombwa bure nao wamepungua unless iwe imetolewa posho
 
"Mkoa wa Kilimanjaro kipindi hiki" Mkuu kwani Kilimanajro kipindi hiki kuna kampeni? Au mnawasomba kuwapeleka may mosi ili muweze kujaza Ushirika!!!
kwenda kufanya mapokezi ya Rais wakati akiingia Hapa kilmanajaro
 
Mjomba ccm ni ya wanyewe kila unacho kiona humo ni cha MTU fulani wananufaika na mambo fulani mfano kama hayo maroli msimamizi wake ananufaika na mafuta akiambiwa kila Lori aweke Lita mia mbili yeye anajiongeza anaweka Lita mia hamsini

kweli ina wenyewe aise
 
Back
Top Bottom