Mbona kawaida...si kila wakati ubishi tu...inapobidi ku-bend your legs and kneel down,haina budi.
Kwa hapo jamaa boya ila ngoja afanikishe, mdada atakuwa boya+Boyaa kweli baadae atarushwa kichura
hahahaaaaaa.....!
Asa unacheka nini arif??
Kama hutaki baaasi
Asprin arif sijui maana yake ninini....!
Kama hutaki baaasi
kha!!!! Kumbe tuna rasilimali nyingi tu!!