jijini leo
Member
- Jul 20, 2014
- 62
- 9
Dah mwanangu hiyo ishu ni noma wakuu!
Mi nafikiri tuunde Chama kwa ajili ya kuwatetea na kuwatafutia ufumbuzi wale wote wenye matatizo ya kulishwa limbwata.
Hii itasaidia haki na thamani yetu ibaki pale pale, we unafikiri mke wako akimuona mwenzio anavyofanyiwa kazi zake hatatamani kukulisha na wewe limbwata ili nawe umfanyie kazi kama mwanamke mwenzake anavyofanyiwa?
Ndo maana mimi kwangu chakula cha peke yangu sili hata siku moja au hata kukuta kitu ameweka mi nianze kukila ama kuonja ...nehiii!
Siku zote tunakula chakula cha pamoja!
kula pamoja yaani mimi na yeye!Mkuu wangu limbwata wakat mwngne hutumwa kwa mlengwa tu hata mkila mia chakula litakuja kwako ulielengwa.
Mke wangu nae amekuwa akinitania hivo kuwa unamwona mwenzio nam nitakUwekea limbwata ukome hadi pichu zangu uwe unafua
Namjua mshkaji, mke wake ana mimba changa. Na mimba changa zinasumbua sana.
Na mimba miezi ya mwanzo inasumbua unaweza juta kwanini uliibeba.....
Dah mwanangu hiyo ishu ni noma wakuu!
Mi nafikiri tuunde Chama kwa ajili ya kuwatetea na kuwatafutia ufumbuzi wale wote wenye matatizo ya kulishwa limbwata.
Hii itasaidia haki na thamani yetu ibaki pale pale, we unafikiri mke wako akimuona mwenzio anavyofanyiwa kazi zake hatatamani kukulisha na wewe limbwata ili nawe umfanyie kazi kama mwanamke mwenzake anavyofanyiwa?
Ndo maana mimi kwangu chakula cha peke yangu sili hata siku moja au hata kukuta kitu ameweka mi nianze kukila ama kuonja ...nehiii!
Siku zote tunakula chakula cha pamoja!
Dah mwanangu hiyo ishu ni noma wakuu!
Mi nafikiri tuunde Chama kwa ajili ya kuwatetea na kuwatafutia ufumbuzi wale wote wenye matatizo ya kulishwa limbwata.
Hii itasaidia haki na thamani yetu ibaki pale pale, we unafikiri mke wako akimuona mwenzio anavyofanyiwa kazi zake hatatamani kukulisha na wewe limbwata ili nawe umfanyie kazi kama mwanamke mwenzake anavyofanyiwa?
Ndo maana mimi kwangu chakula cha peke yangu sili hata siku moja au hata kukuta kitu ameweka mi nianze kukila ama kuonja ...nehiii!
Siku zote tunakula chakula cha pamoja!
tatizo la kuoa dem wa uswaz,ndoa ndo kila kitu kwake,lazima akuloge kujihakikishia 'hatam'Habr wana jf!!
Takriban kama wiki nzima nimekuwa nikisikia mwanaume mwenzetu akideki
chooni na kufagia uwanja huku mke akiwa amekaa au amelala.leo nimejionea
mwenyewe kwa macho mawili mwanaume kwel akifanya usafi choon na uani
huku mke akiwa amekaa.niliogopa hata kwenda kuoga mpka alipomaliza usafi
kote.na kuna wakat mwanaume anafanya usafi kwanza ndipo aende
kazin.laah imeniuma sana kuona vile ..
Sasa najiuliza n mapenzi ya mwanaume kwa mke wake au ndo limbwata
lenyewe?????
Je anaweza akasaidiwa vp kama n linbwata ??
Karibu kwa maoni na Ushauri ili niweze kumsaidia mana n jiran
yangu.
Mapenzi ni kusaidiana na kuoneana huruma, 2naweza 2kamwaga povu huku jamvini wakati ha2jui wakiwa kitandani wanaongea nini.
Na mimba miezi ya mwanzo inasumbua unaweza juta kwanini uliibeba.....
umeongea point
Kama mke anaumwa kuna shida gani...? Na ukute hawana msaidizi wa kazi....