jijini leo
Member
- Jul 20, 2014
- 62
- 9
Habari wana JF
Takribani kama wiki nzima nimekuwa nikisikia mwanaume mwenzetu akideki chooni na kufagia uwanja huku mke akiwa amekaa au amelala.
Leo nimejionea mwenyewe kwa macho mawili mwanaume kweli akifanya usafi chooni na uani huku mke akiwa amekaa.
Niliogopa hata kwenda kuoga mpaka alipomaliza usafi kote, na kuna wakati mwanaume anafanya usafi kwanza ndipo aende kazini, laah imeniuma sana kuona vile.
Sasa najiuliza ni mapenzi ya mwanaume kwa mke wake au ndo limbwata lenyewe?
Je anaweza akasaidiwa vp kama n linbwata?
Karibu kwa maoni na ushauri ili niweze kumsaidia mana ni jirani yangu.