thebogo055
Member
- Jun 22, 2020
- 19
- 176
Mlipo Masasi vipi upinzani wameruhusiwa kushiriki msiba wa Rais wetu mstaafu? Tupeni taarifa tafadhali.Kwahiyo hii mada ndio inahusiana na Masasi? Acha udananda ww nyuzi za Masasi zinazo toa taarifa ujaziona sio!
Mkuu mada zako pedwaMwanamke haridhiki, fanya yalio ndani ya uwezo. Utakazania kumtia dudu aridhike bill zikija hela huna atalalamika tena. Utakazania kutafuta pesa ili maisha yawe bora atasema huna muda nae!
Sasa wengi huwa tunapima kati ya ngono na maisha mazuri kwa ujumla kipi kinafaa kuweka focus ndio yanakuja kutokea hayo ya mpaka rangi kupiga pumbu wake zetu.
Binafsi naona kuchukulia mwanamke kama chombo cha starehe kuna save from a lot of endless stress! fanya kidogo tafta hela zaidi. Lazima kuwe na balance!
Habari wana JF.
Mwanamke anasema mwanzo haikuwa hivyo kwa jamaa ila baada ya kuishi wote ndo hali hiyo ikaanza kumtokea jamaa..
Wanaume wengine hawawezi ujue sema.wanawake wanafichaga mengi tu hawasemi.Habari wana JF.
Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari.
Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua ya kumuweka mtoto wa kike ndani basi usimuache njiani...
Mh hatari sana. Inaelekea anakukeraga mno sio kwa comment hiziWahuni watafunua sana sketi ya mke wangu, yaani siwezi kupoteza mda wangu kumridhisha huyu kiumbe. Kwenye sita kwa sita mimi nkimaliza na mchezo ndo umeisha hayo mambo ya kukata kiuno kama panga boy siyawezi. Natafuta pesa tu kwa ajili ya mimi na watoto wangu huyo mwanamke ni bonus plan tu awepo ama asiwepo ni irrelevant
Shida yao unakuta mtu kabla hajaolewa kila siku anagalagazwa na watu kama wa tatu na bado ana macho makavu kama dagaa wewe ukija baada ya stress za maisha na mapombe ukipiga kamoja chali.Habari wana JF.
Kuna jambo nimeona ni share na nyie maana kilichotokea juzi mtaani kwangu ni hatari.
Jamani wanaume wenzangu unapokuwa kwenye mahusiano ambayo yako serious mpaka ukafikia hatua ya kumuweka mtoto wa kike ndani basi usimuache njiani...
Kumfikisha ni jukumu muhimu kuliko hata hayo mahitaji unayomtimizia.Wanawake huwajui nini1: sio lazima umfikishe kama majukumu yote muhimu ndani ya nyumba unafanya.
2:hakuna aliyekamilika, amfikishe mwanamke, na wakati huo huo matumizi yooooote atowe asiwe na kasoro? Hii haipo
3: ufikishwe , uhudumiwe 100% wewe ni nani?
4: kuchepuka ni tabia ya mtu asisingizie kutofikishwa.
5: hakuna watu warahisi kuchepuka kama wake za watu yaani unakuta eti ana shida ya elfu 50 afu kachepuka kweli? Au kwakuwa wameshachepuka hawana cha kupoteza?
Kwa kweli wake za watu wanaongoza kushiriki zambi za kijinga.
Mm ni mwanamke najua ninachokiongelea. Mwanamke anaekupenda anaweza kukuvumilia kutomfikisha kuliko kuvumilia kukosa matumizi mengine. Endelea kubisha na kujidanganya ati hitaji kuu la mwanamke ni kufikishwa.Kumfikisha ni jukumu muhimu kuliko hata hayo mahitaji unayomtimizia.Wanawake huwajui nini