Ni lazima tujue wapi tulipo na wapi tunaelekea

Ni lazima tujue wapi tulipo na wapi tunaelekea

PCZZO

Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Nashawishika kuuliza maswali mengi sana lakini kwa leo naomba tusaidiane kwa haya kuhusiana na nchi yetu kuwa ni kweli hatujui kabisa ni wapi tulipotoka na wapi tunaelekea na kama kweli hatujui kabisa nini cha kufanya kuhusiana na nchi yetu bado naitafuta TANZANIA iliyokuwa ikiheshemika kiasi wimbo wa taifa ulipokuwa ukiimbwa kila mtu alikuwa askisimama bendera ya taifa ilipokuwa ikipandishwa na kushushwa kila mtu alikuwa akisimama lakini kwa sasa nani anaweza kufanya hivyo.Jamani nchi imedharaulika vya kutosha hata imefikia raisi wetu wanamsema kupitia nyimbo za bongo flava kwa lugha zisizofaa.Je ni kweli tumechoka na yanayotokea au tumeshindwa kuutumia uhuru tuliopewa by
pczzo
 
bado kitendawili kwetu lakini inahitaji mawazo ya kina na maamuzi ya kina tutulie na tufanye jambo la kueleweka badala ya kukaa na kuwalaumu viongozi wet ambao kimsingi wamekuwa hawatekelezi majukumu yao ipasavyo
 
Back
Top Bottom