Ni lazima kumgharamia mwanamke kila kitu hapaswi kusaidia hata kama ana kazi


whaaaaaaaaat? hebu watake radhi!!
 
 
Of course ni lazima kwa vile ni jukumu la mwanaume; kama ambavyo mwanamke ana jukumu la kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu wakati raha mlikula wote.

Wanaodhani si lazima wanakwepa majukumu.
 
Shantel sikutegemea kuwa una mawazo potofu, nahisi umeongea tu humaanishi. Unajua wanawake wanafikiri kila siku ni siku kuu. Imagine huyo ana kipato bado anataka mawanaume afanye. Ebu tuwafikirie waume zetu halafu tujiweke kwenye position zao uone kama unaweza kufanya.

Nashukuru Mungu, mimi nikipata mshahara wangu naweka mezani salary slip na yake halafu tunapanga nini kifanyike kwa mwezi mzima, zinazobaki tunagawanya mara 2 kila mmmoa anaweka kwenye kibubu chake. Imagine mumeo anakata roho na ulishazoea kufanyiwa? mwezi tu baada ya kifo chake unaanza kutafuta mwanaume wa kukuoa maana huna uwezo wa kujitegemea.

Kaka ngoja nikupe mbinu za kumfix huyo mwenzako. Kwanza kabisa kata matumizi ya kipuuzi kama salon, cloth etc. Ubaki na vitu muhimu kama chakula kwa watoto na mengineyo. Kama huna watoto, nunua gunia la maharage, unga weka ndani halafu tulia. Akikosea akauliza mpe live kwamba umeshoshwa na ubahili wake kama hawezi kula TO HEAL!

Usiendekeze wapumbavu.
 
 

Bahati nzuri kina kaka wengi wanajua majukumu yao, na wanajua fika kinachohitajika kuwa mwanaume sio maumbile tu, ni majukumu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…