Ni lazima kumgharamia mwanamke kila kitu hapaswi kusaidia hata kama ana kazi

Mwanamke daima huwa hawezi kujiamini kuwa anaweza fanya kitu flani mwenyewe hata awe na kipato au kazi nzuri,hata kama anapesa zake atahitaji umpatie wewe.Kimsingi ni vizuri watu wakasaidiana katika hilo lakini kutokujiamini kwa wanawake waliowengi ndo imekuwa tatizo

whaaaaaaaaat? hebu watake radhi!!
 
Mkuu mimi hlo kwangu nimelitatua na sasa ni raha mustarehe, mnafungua joint account kipato chake anaweka humo, wote mnakuwa na rty ya kudrow, kwa kuwa wanawake ni wavivu kulipa bili we usimsumbue go & drow & spend nae
ingawa pesa ni zake ila ukilipa wewe anasikia raha sana c wajua akili zao zipo nyuma yetu![/QUOTE]

nyuma ya ****** yenu?
 
Of course ni lazima kwa vile ni jukumu la mwanaume; kama ambavyo mwanamke ana jukumu la kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu wakati raha mlikula wote.

Wanaodhani si lazima wanakwepa majukumu.
 
Shantel sikutegemea kuwa una mawazo potofu, nahisi umeongea tu humaanishi. Unajua wanawake wanafikiri kila siku ni siku kuu. Imagine huyo ana kipato bado anataka mawanaume afanye. Ebu tuwafikirie waume zetu halafu tujiweke kwenye position zao uone kama unaweza kufanya.

Nashukuru Mungu, mimi nikipata mshahara wangu naweka mezani salary slip na yake halafu tunapanga nini kifanyike kwa mwezi mzima, zinazobaki tunagawanya mara 2 kila mmmoa anaweka kwenye kibubu chake. Imagine mumeo anakata roho na ulishazoea kufanyiwa? mwezi tu baada ya kifo chake unaanza kutafuta mwanaume wa kukuoa maana huna uwezo wa kujitegemea.

Kaka ngoja nikupe mbinu za kumfix huyo mwenzako. Kwanza kabisa kata matumizi ya kipuuzi kama salon, cloth etc. Ubaki na vitu muhimu kama chakula kwa watoto na mengineyo. Kama huna watoto, nunua gunia la maharage, unga weka ndani halafu tulia. Akikosea akauliza mpe live kwamba umeshoshwa na ubahili wake kama hawezi kula TO HEAL!

Usiendekeze wapumbavu.
 
Mkuu mimi hlo kwangu nimelitatua na sasa ni raha mustarehe, mnafungua joint account kipato chake anaweka humo, wote mnakuwa na rty ya kudrow, kwa kuwa wanawake ni wavivu kulipa bili we usimsumbue go & drow & spend nae
ingawa pesa ni zake ila ukilipa wewe anasikia raha sana c wajua akili zao zipo nyuma yetu![/QUOTE]

nyuma ya ****** yenu?

......mimi simo lol.........
 
Shantel sikutegemea kuwa una mawazo potofu, nahisi umeongea tu humaanishi. Unajua wanawake wanafikiri kila siku ni siku kuu. Imagine huyo ana kipato bado anataka mawanaume afanye. Ebu tuwafikirie waume zetu halafu tujiweke kwenye position zao uone kama unaweza kufanya.

Nashukuru Mungu, mimi nikipata mshahara wangu naweka mezani salary slip na yake halafu tunapanga nini kifanyike kwa mwezi mzima, zinazobaki tunagawanya mara 2 kila mmmoa anaweka kwenye kibubu chake. Imagine mumeo anakata roho na ulishazoea kufanyiwa? mwezi tu baada ya kifo chake unaanza kutafuta mwanaume wa kukuoa maana huna uwezo wa kujitegemea.

Kaka ngoja nikupe mbinu za kumfix huyo mwenzako. Kwanza kabisa kata matumizi ya kipuuzi kama salon, cloth etc. Ubaki na vitu muhimu kama chakula kwa watoto na mengineyo. Kama huna watoto, nunua gunia la maharage, unga weka ndani halafu tulia. Akikosea akauliza mpe live kwamba umeshoshwa na ubahili wake kama hawezi kula TO HEAL!

Usiendekeze wapumbavu.

Bahati nzuri kina kaka wengi wanajua majukumu yao, na wanajua fika kinachohitajika kuwa mwanaume sio maumbile tu, ni majukumu pia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom