Whay hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?
Je tuuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya ncbi kupiha hatua?
Make awamu ilio pita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa ana tengua na kuteua.
Asamu hii ni teuzi, kila wiki au kila basda ya siku 5.
Why sizijumlishwe panoja zikafanyika mara moja na hata kama Uapisho utafanyika kwa Interver?
Naminisha hivyo Mwingileza mweusiHuu ni uongozi mpya!. hakuna muda wa kuchelewa kupanga safu ya watu utakaofanya nao kazi!..tena ingewezekana angefanya kila siku ili amamilize mapema zaidi kupanga timu yake na kazi iendelee!
Besides, naamini hiyo interver uliyoandika uliimaanisha interval!.. kama sivyo basi nisamehe!
Mkuu unataka kumpangia cha kufanya?Hakuna time frame ya kupanga? Au muda nao unasubili apanga kwanza timu?
Nyie ndo mnakaa kushangilia teuzi? Yaani mnaona ni maendeleo? Wakati muda huu wenzetu wanaumiza vichwa kuhusu wanasaidia vipi raia wao hasa kwenye swala la ukuaji wa Techinolojia wewe unashagilia teuzi,Teuzi zisipo kuhusu unajionea sawa tu. Zinaathiri kitu gani labda ungetuambia
Anatengeneza Timu yake ya Kazi ikamilike mapemaWhay hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?
Je tuuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya ncbi kupiha hatua?
Make awamu ilio pita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa ana tengua na kuteua.
Asamu hii ni teuzi, kila wiki au kila basda ya siku 5.
Why sizijumlishwe panoja zikafanyika mara moja na hata kama Uapisho utafanyika kwa Interver?
Naminisha hivyo Mwingileza mweusi
Nionyeshe wapi nimeshangilia, hata kufatilia sizifatilii nazisikia tu kwa juu juu. Hazinisaidii chochote nipo busy na umachinga wangu.Nyie ndo mnakaa kushangilia teuzi? Yaani mnaona ni maendeleo? Wakati muda huu wenzetu wanaumiza vichwa kuhusu wanasaidia vipi raia wao hasa kwenye swala la ukuaji wa Techinolojia wewe unashagilia teuzi,
Mkuu Rais hawezi mudu majukumu yote peke yake anahitaji wasaidizi ambao ndo hawa anao teuaKwani humu Post zote ni za kumpangia Raisi cha kufanya? Mbona post zinazo muhusu ziko nyingi sana? Kwani hili jukwaa ni la kuapangia watu cha kufanya au ni kujadili mambo?
Nakuunga mkono kwa hoja yako. Binafsi nilitegemea Leo hata angepiga na Ma DC tuachane na kazi za kuteuana tuanze safari rasmi.Huu ni uongozi mpya!. hakuna muda wa kuchelewa kupanga safu ya watu utakaofanya nao kazi!..tena ingewezekana angefanya kila siku ili amamilize mapema zaidi kupanga timu yake na kazi iendelee!
Besides, naamini hiyo interver uliyoandika uliimaanisha interval!.. kama sivyo basi nisamehe!
Uko jikoni, tuambie maDC ni lini?Kwa hiyo ulitaka mama asiteue ndugu... na bado MaDC tuwe wavumilivu
Sehemu alliyokosea kwenye Baraza la mawaziri, huku kwingine asingepata shida.Unaandika ukiwa unakimbia?