Ni lazima CCM wapite mikoani kujionyesha?

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Binafsi mimi ni mwana sisiem, lakini kinacho nikera ni viongozi wetu wapya kujinadi kana kwamba wako kwenye kampeini za uchaguzi mkuu. Mimi ningewapa big - up kama wangelirudi ofisi na kuanza kuchapa kazi kuliko kutumia pesa kufanya misafara ili hali mafuta juu sana. Hii inaonyesha kuwa nyoka kajivua gamba lakini bado ni yule yule ****. Bora Makamba sasa. mh!
kwani ni nani asiyemjua mnahuye aliyempinga Lowasa? Halafu wanayoyasema ukiwatazama kisaikologia unajua tu kuwa hawana jipya. Na wenzangu mnaokwenda kuwapokea kwa ama kwa kupewa vijisenti ACHENI HIZO.
 
Back
Top Bottom