Wana jamvi, eti mume wangu anataka turuke ukuta eti ndio kuimarisha ndoa? Hii ina ukweli gani?
Kuuliza si ujinga ndugu, sie wengine bsdo wachanga kwenye sita kwa sitaPoleni...Pepo linawasumbua wote wawili..kama ungekuwa mzima usingeuliza hapa...
Kumbe huwa inakuwaga kama mdomo wa mamba!Duh!DuuuhhhhhSidhani kama kama kafanya hivyoKutaimarisha ndoa..Na nivipi akichoka nayo au ifike ileHali ya mdomo wa mamba...Si ndoa itapukutika ..
Mdomo wa mamba ndo nini bidada?Duuuhhhhh
Sidhani kama kama kafanya hivyo
Kutaimarisha ndoa..
Na nivipi akichoka nayo au ifike ile
Hali ya mdomo wa mamba...
Si ndoa itapukutika ..
Kwani kuolewa ndiyo huwezi kutamani wa nje? wee vipi?Juzi ulituletea hii thread...Kuna mkaka anapitaga hapa mtaani kwetu, yaani nampenda ila kumwambia ndiyo nashindwa, usoni naona haya, hata sijui nifanyeje? Nisaidieni pleeeease.
vipi umeshampata,mmeoana na anataka kuruka ukuta?
im just curious.
mmmh! avatar ni yangu binafsiHiyo avatar yako sichoki kuiangalia, japo sina uhakika kama naipenda au naichukia.
USIJARIBU KUMRUHUSU KUVUKA UKUTA,
KWA SABABU NI HATARI KIAFYA, PIA KIIMANI HAIJARUHUSIWA.
Thx kwa ushaurisasa utaweza kuruka ukuta kweli.Usikubali mambo ya kuruka ukuta, ukidondoka utaumia vibaya sana.Lakini kwa nini msipitie mlangoni tu au dirishani?.Ukishaumia baada ya kuruka ukuta ndio utajua hakuna ndoa tena.Usikubali.
Kwani kuolewa ndiyo huwezi kutamani wa nje? wee vipi?
Inahuuu????nimeuliza ili nijue...nisingeweza jua kama umeolewa na kuna mkaka mtaani wampenda...jibu lako limenifumbua.
Tandale,mwananyamala,manzese,mburahati,temeke,BUGURUNI .... unakaa maeneo gani kati y hayo?Kwani kuolewa ndiyo huwezi kutamani wa nje? wee vipi?
Mdomo wa mamba ndo nini bidada?
Kumbe huwa inakuwaga kama mdomo wa mamba!Duh!
wewe nilishakukanya...ohooooooteh teh teh teh tunajifunza kila siku lol