ismail mziwanda
Member
- Jun 3, 2014
- 49
- 11
Wakuu jana nlikaa na mzee wa Kihehe, nikamuuliza kuhusu wao kuhusishwa na kula securiter a.k.a wuuwuu ze dog na alichonojibu ni hiki hapa
Basi hapa Wajerumani wakajua amekul ugali na dogi yaan mbwa ze wuuuuuwuuuu, uvumi ukaanza vuma hapo" hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nam leo mzaramo ila nakula wali na akadogi ya Mbeya
"Kiukweli wahehe hatul mbwa ispokua uvumi huu ulianza pale zamani wakoloni wa Kijeruman walipokuja Bara na wakamwona mtoto kitumbo kimefutukaa,wakamuuliza umekula nini?
Akawajibu "Nimekula ugali na akadogi" (akadogi ni maharage kwa lugha ya Kihehe)
Basi hapa Wajerumani wakajua amekul ugali na dogi yaan mbwa ze wuuuuuwuuuu, uvumi ukaanza vuma hapo" hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nam leo mzaramo ila nakula wali na akadogi ya Mbeya