Haya jamani najua wote humu si wanaopenda kwenda club na kunywa mvinyo(pombe) ila wewe unaependa funguka huwa unapenda kwenda club gani mkoa wowote na mvinyo gani hupendelea kutumia, usisahau kusema unapenda kutoka club na nani usiohusika na mambo haya kaa kimya.
huwa nashuka kilabuni mitaa ya mabatini mbeya.....bila kusahau kamba za kufunga miguuni.....nagonga chimpumuu ya kutosha then narud geto na mama muuza....nampa mambo asubuh anarud kwake
Element, Triple 7 hapo thatha Napendelea kwenda kusalimu Namaqualand nipate zangu Namaqua sweet red wine au savanna. Mziki kila nyimbo naimba nakucheza mpaka kiingilio changu kiishe ha ha ha ha ha ha isibaki hata mia ya chenchi...