M maimbi Member Sep 2, 2011 40 9 Nov 16, 2011 #1 hiv kweli tusherekee sote nusu karne (miaka 50) ya uhuru? Au tulie sote kwa miaka 50 ya magamba ya unyonyaji ukandamizaji wa maskin,mfumuko wa bei ,elimu mbovu. Tushirikiane sote wanaharakat tuikomboe nchi yetu mikononi kwa magamba.
hiv kweli tusherekee sote nusu karne (miaka 50) ya uhuru? Au tulie sote kwa miaka 50 ya magamba ya unyonyaji ukandamizaji wa maskin,mfumuko wa bei ,elimu mbovu. Tushirikiane sote wanaharakat tuikomboe nchi yetu mikononi kwa magamba.