PostGE2025 Ni kweli tulichoma vituo vya mafuta na kuharibu mali za watu je napaswa kupigwa risasi au kupelekwa mahakamani?

PostGE2025 Ni kweli tulichoma vituo vya mafuta na kuharibu mali za watu je napaswa kupigwa risasi au kupelekwa mahakamani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,119
Reaction score
1,425
Sasa kama nimechoma Vituo vya mafuta na kuharibu Mali za watu je nahitaji kupigwa risasi au kufunguliwa mashtaka

Je sheria inaruhusu mtu asiyekua na silaha kupigwa risasi?

Je sheria inaruhusu mtu kufuatwa nyumbani na kupigwa risasi?
 
Ila Kuna watu kama mnafirimbwa basi wafirimbaji wenu wanawafirimba vibaya sana aisee. Maana hata kwenye maongezi yenu ufirimbaji unaoneka..........mamamae
 
Back
Top Bottom