...................Tanzania, which has no air force, bought the military air defence radar from BAE in 2001 for £28m.......................
Sourcehttp://www.guardian.co.uk/world/2010/dec/19/wikileaks-cables-tanzania-bae-fears?INTCMP=SRCH
Nadhani kwa mtazamo wangu kwenu ma Great Thinkers ni hivi tuna mambo mengi sana ambayo hayatulia na tunawanyooshea vidole kila siku wahusika lakini naombeni kama hamtajali hili la kuanza kulijadili jeshi letu humu jamvini na dhana walizonazo najiona kama tunajianika hadharani kwa maadui zetu hivyo kama hamtajali mwenye thread hii anaweza kuipotezea ni ombi lakini na maoni yangu tu

Derimto cia fact book, nationmaster na web kibao wameweka strength yetu ya military hadharani hivyo wala sio siri na kwa kweli hamna siri kwani hata za kwao zipo. Na kuficha haiwezekani maana silaha ni wao wanatuuzia hivyo bora tuwambie ili wajirekebishe.
tanzania hatuna air force. Tuna vi-ndege vichache vya training tena vya kichina na kingine tuliteka kwa waganda wakati wa vita vya nduli. kifupi hata jeshi letu liko outdated kulinganisha na majirani zetu hasa kenya,uganda na rwanda,:embarrassed:
Nadhani kwa mtazamo wangu kwenu ma Great Thinkers ni hivi tuna mambo mengi sana ambayo hayatulia na tunawanyooshea vidole kila siku wahusika lakini naombeni kama hamtajali hili la kuanza kulijadili jeshi letu humu jamvini na dhana walizonazo najiona kama tunajianika hadharani kwa maadui zetu hivyo kama hamtajali mwenye thread hii anaweza kuipotezea ni ombi lakini na maoni yangu tu
Sasa itakuwa ni unafiki kuogopa kujadilia uwezo na mapungufu yako ndani ya nchi wakati nje ya nchi watu wanayajua. Na tusisahau ni huu usiri usiri ndio wajanja wachache wanatumia kuleta helikopta za watali jeshini . Huu huu usiri usiri ndio wajanja wachache wanatumia kujinufaisha kwa mambo kama MEREMETA.Military branches: Tanzanian People's Defense Force or TPDF paramilitary Police Field Force Unit, MilitiaMilitary
Military manpower - availability:
males age 15-49: 8,104,226 (2000 est.)
Military manpower - fit for military service:
males age 15-49: 4,690,681 (2000 est.)
Military expenditures - dollar figure: $21 million (FY98/99)
Military expenditures - percent of GDP: 0.2% (FY98/99)
Je mtanzania kuhoji kuuliza ratio ya wanajeshi walioajiriwa na wale wenye afya ya kwenda vitani ni hatari au kukaa bila kuhoji ndio kulea donda ndugu ??????
Angalia profile ya tanzania ilivyochambuliwa zaidi Tanzania Information and Online Map - Map Town Ltd.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania lipo imara kama chuma chapua!!Nakwa East and Central Tunaongoza kwakuwa na Jeshi Bora!!Na kwa kuwa na nyezo madhubuti Na nchi zote ambazo nijirani wanalitambua hilo!!Kuhusu ndege nawambia Tuna ndege zauhakika tena Namshukuru Rais Mstaafu B.W.Mkapa kwakufanya yote haya jeshini! Tuna ndege za ukweli New Brand!! I am keeping low profile!For National benefits!!