Ni kweli. Maombi yalikuwa yanafanyika kwenye online application system. Waliofanikiwa wametumiwa email ya kuitwa kwenye usaili. Ukiona kwako kimya, yawezekana kabisa hujafanikiwa kwenye mchujo. Ama hukutumia njia sahihi ya kutuma maombi. Kama ulituma maombi kwa njia nyingine zaidi ya online, sidhani kama utafanikiwa.