youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Baada ya baadhi ya wana CCM kukihama chama, kumeanza kuzuka kauli ambazo naweza kuziita ni "kauli za mfa maji" wakidai kuwa Chadema sasa ni CCM B.
Nini maana ya upinzani? ni hali ya kupinga jambo fulani linalofanywa na mtu/watu fulani.
Naomba nieleweke hapa;kabla ya upinzani watanzania wote tulikuwa chama kimoja "CCM", ambae hajawahi kuwa mwana CCM labda aliyezaliwa miaka ya 90 na kuendelea, hivyo hata mimi nathubutu kusema "MIMI NI CCM B, NILIYEJIPA JINA LA CHADEMA".
Hao akina Slaa, Lipumba walianzia wapi siasa? je ni nani ambaye sio CCM?
Kabla ya kuundwa NCCR Mageuzi wafuasi wake walikuwa chama gani?
Kabla ya kuundwa CUF wafuasi wake walikuwa chama gani?
Kabla ya kuundwa CHADEMA wafuasi wake walikuwa chama gani? au ni wapi "source" ya wafuasi wa vyama vya upinzani? Maana nyingine ni kuwa sisi ni CCM B tunaopingana na CCM A kwa mambo wanayofanya.
Hivyo napenda kuwapa ukweli wanaCCM wote kuwa; Hatutishwi na kauli zenu kuwa CHADEMA imekuwa CCM B.
Nawasilisha youngsharo.