Ni kweli imenitokea leo jioni saa 11
Nilikua nime simama na rafiki zangu kwenye kona ya mtaa wa Tandamiti na Congo.
Tunakula Ice cream za Azam 1>Anakula bolcone 2>Tunakula chocstick 2>Wanakula ice lolys Enjoying our selfs
Mara akapita mleve katuangalia kapita kama hatua 2,Halafu akarudi akasema kwa sauti kubwa>WANAUME WAZIMAAA MNANYONYA MBxxxx YA BAKHRESA.
Tulitamani tuzutupe ice cream:shock: lakini tukazila.