sexological stress! Trust me , .. Hafikishwi anapotaka na hana namna ya kufanya hivyo.
Me watu wenye visirani ee Mungu niepushe nao,life is too short to be stressed out...
Kuwa free,cheka cheza enjoyyyy... Aaaghhh...
Ishi freeee...
But be smart.
Me napenda nyumba ambayo muda mwingi mnaenjoy na kufurahi sio mmenuna mgeni akija hata kuhema anashindwa,! Kha!
Me nataka nyumba ama familia yenye afya ,muwe nacho hamna wote mko okay...
Ukiondoka wanakumiss.. Sio ukisinzia tuu wanashangilia uhuru! No jamani!!!
Apo akitokea msaidiz wa ndani mwenye roho mbaya na sumu atamuwekea huyo mama!!
sio kwamba anawchukia...ni kwamba yeye mwenyewe hajipendiHii inaweza kuwa ni sababu kweli? yaani mtu kutofikishwa ndio uchukie ndugu wa mumeo na pia hata ndugu zako mwenyewe!
Nimeipenda topic yako Ngonepi.
App yangu tu kw simu haina sehemu like.
... umeangalia maisha ktk uhalisia wake !
Maisha wakati mwingine yanakosa tafsiri kabisaa! unaweza kutamani kuwa kama fulani kumbe yule unayetamani ungekuwa yeye mwenyewe hafurahii kabisa kile wewe umekiona.
Sasa huwa najiuliza kwa nini wanadamu tunakuwa na tamaa, tunatamani vitu na hata tukivipata bado tu tamaa haiishi mioyoni mwetu!!
Utakuta mtu ana ardhi hekari hata mia lakini bado tu anagombea nusu heka na maskini!
mtu ana gari la milioni mia lakini angombana na mhudumu wa car parking kwa kukataa kulipia shilingi mia tatu ya park.
yaani pesa inakosa maana kabisa, pesa inakufanya utengwe na ujitenge na familia yako, pesa inakupa upweke inakupa maadui ambao kábla walikuwa ni watu wako wa karibu!
Unaweza ukatamani kutopata pesa nyingi ukiona maisha ya baadhi ya matajiri!!
Wapo wanaodai Pesa ndiyo kila kitu lakini Si kweli... Pesa si kila kitu.... kwa sababu Pesa yaweza kununua kitanda lakini haiwezi kununua usingizi, Pesa yaweza kununua saa lakini siyo wakati. Pesa yaweza kununua cheo lakini haiwezi kununua heshima.
Pesa yaweza kununua Dawa lakini kamwe haiwezi kununua afya, Pesa yaweza kununua anasa lakini haiwezi kununua upendo... Pesa yaweza kununua jeneza lakini haiwezi kurudisha uhai... aaah wengine endeleeni na wakosoaji kosoeni.
Ni kweli kabisa pesa inaweza kununua vitu vingi ila sio furaha aisee na matajir wengi they are stressed ndo mana wengine wanaishia kunywa pombe sana au kutumia drugs ili mradi tu ease up the stress level
Siku hizi watu wataacha kukaribisha wageni
Kuepuka kuchunguzwa