robson kiria
Member
- Apr 11, 2014
- 73
- 105
Nasikia panya road wamerudi kwa speed ya jet
Isije ikawa ni janja ya nyani, watu waone ni matokeo ya hili zoezi la kuwaondoa wamachinga mtaani! hivyo waonewe huruma!!!wakirudi magereza yapo kwa watakao bahatika kuyafikia, na watakaoshindwa kuyafikia basi R.I.PNasikia panya road wamerudi kwa speed ya jet
Unaishi wapi kwanza maana sisi wa Mbezi beach hatujasikia hayo mambo yenu. Mnaogopa vijana wapuuzi kama huwezi kumiliki bunduki unashindwa nini kujiweka kijanja nunua sime kwa Masai 15000 tu unalinoa fresh akitia mkono mtu unaondoka na kiganja kama wembe. Wekeni ulinzi shirikishi kama huwezi kumiliki mbwa na kuweka mlinzi.Nasikia panya road wamerudi kwa speed ya jet
Afu ni vitoto vidogo umri miaka 15 tu vinayahenyesha mababa mazima na mavitambi yao.Wanaume wa dar mnaogopa panya road???,
Unatembea na jambia halafu kulitumia hujui!! Patamu hapoootembea na jambia