Ni kweli kwamba ukishinda pesa kupitia droo ya 'Tusua Mapene' inazuiwa mpaka siku 60.

omutimbasafi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
608
763
Kuna dada mmoja alishinda milioni kumi na tano katika droo za tusua mapene;anadai mzigo unasoma kwenye akaunti lakini walimwambia ataweza kuanza kuutumia baada ya siku 60.Hii ni kutokana eti;ajipange kwanza na kupunguza mchecheto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…